Nafunga ndoa na mtu nimpendae-Billnass

Msanii wa muziki nchini Billnass, amedai kuwa anampango wa kufunga ndoa na mpenzi wake wa sasa itakapofika mwakani kwasababu anapenda maisha ya ndoa nakuwa na familia kwani ni kitu muhimu kwake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS