Simba yatangaza usajili mwingine Kocha wa Simba, Patrick Aussems Klabu ya Simba kupitia kocha wake mkuu, Patrick Aussems imesema kuwa ina mpango wa kuongeza mchezaji mmoja wa kimataifa kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa wiki hii. Read more about Simba yatangaza usajili mwingine