Biashara United yapata dawa ya matokeo Kocha mpya wa Biashara United, Amri Said akisaini mkataba Aliyekuwa Kocha wa Mbao FC ya Jijini Mwanza, Amri Said leo ametambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Biashara United ya mkoani Mara. Read more about Biashara United yapata dawa ya matokeo