Kigogo CCM ahoji mapato ya TRA
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheki ameitaka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutekeleza kiukamilifi maagizo yaliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzannia, Dkt John Magufuli juu ya kupunguza kodi zisizokuwa za msingi.