Coastal wacharuka suala la Alikiba kuvunja mkataba
Klabu ya soka ya Coastal Union kutoka jijini Tanga, imekanusha vikali taarifa zinazoeleza kuwa mchezaji wao, Ali Saleh Kiba maarufa kama Alikiba amevunja mkataba kama mchezaji na kuwa kiongozi wa timu hiyo.