Makonda azungumzia ujenzi wa Makao Makuu CHADEMA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ameeleza kushangzwa na hatua ya baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kuonesha kumpinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kile alichokisema kuwa wanapinga maendeleo.