Aliyehamia CCM, ataja tabu ya kugombea ubunge 2020
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Moses Machali, amesita kuzungumzia safari yake ya kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 na kubainisha kuwa hajui kama atawania nafasi yeyote.