CHADEMA kulipa fidia zilizokataliwa na JPM

Mbunge wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea.

Mbunge wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (CHADEMA) amewataka wananchi wa Ubungo kuhifadhi vyema nyaraka zao za maeneo waliyobomolewa na kwamba CHADEMA ikiingia madarakani watahakikisha wanawalipa fidia zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS