Lissu amvimbia Spika kuhusu kurudi nchini
Baada ya Spika Job Ndugai hivi karibuni kumtaka Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Aniphas Lissu kurejea nchini kwakuwa hana kibali cha kuzuruua huko Ulaya, mbunge huyo amemjibu Spika akidai amejuaje kama amepona ilhali hajawahi kumjulia hali kwa simu.
