''Sitaki kuzungumzia ndoa zilizopita'' - Charles
Msanii kutoka katika bendi ya Twanga pepeta Charles Baba amefanya sherehe Jumamosi hii na mpenzi wake ambaye alifahamika kwa jina la Mariam na ni baada ya kudumu naye kwa takribani miaka kumi katika uchumba wao.