Chama azua gumzo, uongozi wataja mgeni rasmi taifa
Kiungo maarufu hivi sasa katika klabu ya Simba, Mzambia Clatous Chama ameoonesha uungwana kwa kumzawadia jezi shabiki wa klabu hiyo baada ya picha yake kusambaa mtandaoni akiomba jezi ya mchezaji huyo.