CCM yanyoosha mikono kwa Jenista Mhagama
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Ndg. Humphrey Polepole kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi amempongeza Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Wilaya ya Songea Vijijini Mkoani wa Ruvuma, Jenista Mhagama kwa kuekeleza kwa asilimia kubwa Ilani ya chama hicho.