Zitto ashindwa kumuamini Bashe
Baada ya Taasisi inayojihusisha na masuala ya Utafiti, Twaweza, kueleza kwamba, Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa, 2018 unabadilisha jukumu la msingi la Msajili wa vyama vya siasa kutoka kuwa “msajili” mpaka kuwa “mdhibiti”, mbunge wa Nzega mjini amekanusha taarifa hizo.

