Mwandishi wa habari apigwa risasi Mwandishi wa habari za uchunguzi ambaye aliripoti habari ya rushwa kwenye soka nchini Ghana, Ahmed Hussein-Suale, ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa Jumatano ya Januari 16. Read more about Mwandishi wa habari apigwa risasi