Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu Dar es salaam, Lazaro Mambosasa
Katibu wa Baraza la Vijana la CHADEMA Mkoa wa Kichama Temeke, Hilda Newton amelalamikia kitendo cha jeshi la polisi kumnyemelea, kukamata na kuwaweka kizuizini ndugu zake mpaka pale watakapomkamata.