Abdu Kiba afunguka chanzo cha kifo cha baba yake Msanii wa Bongofleva, Abdukiba Msanii Abdukiba ambaye leo, Januari 17 amefiwa na baba yake mzazi, Mzee Omari Salehe, ameweka wazi matatizo aliyoyapata baba yake, yaliyopelekea hadi kifo chake. Read more about Abdu Kiba afunguka chanzo cha kifo cha baba yake