Mtibwa yashindwa rasmi safari, yawaachia Simba

Mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya KCCA

Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar imeshindwa kusonga mbele katika michuano ya shirikisho barani Afrika baada ya kukubali kichapo kutoka kwa KCCA ya Uganda kwenye ardhi ya nyumbani hii leo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS