Ndugai ashangazwa na ukubwa wa CAG
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameeleza kwamba ni lazima Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali, Prof. Mussa Assad aweze kwenda kuhojiwa kwenye Kamati ya Maadili na asipokwenda atamuonyesha yupi ni bosi wake.

