KMC yaanza kusaka nafasi Kombe la Shrikisho Afrika
Klabu ya soka ya KMC imeanza vyema kampeni ya kuipata tiketi ya kushiriki michuano ya shirikisho barani Afrika, baada ya kushinda mchezo wa kwanza wa Azam Sports Federation Cup (AFC) dhidi ya Tanzania Prisons.