Arsenal ya Monaco na Arsenal ya Nice, uwanjani leo
Leo inaweza ikawa ni kumbukumbu nzuri lakini isiyokuwa na masihara ndani yake, pale ambapo watoto wa profesa wa soka aliyetamba katika klabu ya Arsenal kwa miaka 22, Arsene Wenger watakapokutana katika Ligi Kuu ya Ufaransa, Ligue 1.

