Afikia mshindo mara 50 kwa siku Msichana Amanda Gryce, mkazi wa Florida nchini Marekani, anasumbuliwa na ugonjwa ambao sio wa kawaida, unaomfanya afikie mshindo takriban mara 50 kwa siku, bila ya kufanya tendo la ndoa na mtu yeyote. Read more about Afikia mshindo mara 50 kwa siku