'Bado kuna Mchwa wanatafuna pesa' - Dkt Mpango
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango, amesema kuwa bado kuna Mchwa katika Halmashauri mbalimbali nchini, wanaotafuna fedha za Serikali na kuwataka Wahasibu kuzingatia uadilifu na uzalendo katika kulinda fedha hizo.