Neno la Yanga Msiba wa Akilimali, ratiba, mazishi Marehemu Ibrahim Akilimali enzi za uhai wake Klabu ya Yanga imeeleza masikitiko yake kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la wazee wa klabu hiyo Ibrahim Akilimali. Read more about Neno la Yanga Msiba wa Akilimali, ratiba, mazishi