Waziri aagiza Kisima cha Mil. 160 kichimbwe Mil.20
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga.
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kubadili matumizi ya gharama za uchimbaji wa visima kutoka Tsh Milioni 160 mpaka kuchimba kwa Tsh Milioni 20.