"Kama kuna mwanaume anajiamini aje hapa" - Wini Msanii Wini EATV & EA Radio Digital imepiga stori na msanii wa kike Wini Tz, ambaye amesema kama kuna mwanaume yeyote anayejiamini na anasema amemnunulia gari ajitokeze amuone. Read more about "Kama kuna mwanaume anajiamini aje hapa" - Wini