Samatta anukia klabu nyingine ya EPL hivi karibuni
Mbwana Samatta
Taarifa mbalimbali katika vyombo vya habari nchini Uingereza leo zinasema kuwa mshambuliaji wa Taifa Stars na klabu ya Genk, Mbwana Samatta yukom mbioni kusajiliwa na klabu ya Aston Villa.