DART yatoa tahadhari kwa abiria wa Mwendokasi
Wakala wa Mabasi yaendayo kwa haraka, maarufu kama Mwendokasi (DART), wamewataka abiria wote wanaotumia mabasi hayo, kutoka maeneo ya Kimara kuelekea mjini kuwa watumie mabasi hayo hadi Morocco na wakishafika hapo, wachukue usafiri mwingine utakaowafikisha mjini.

