Bashiru ataja jambo moja kubwa alilofanya Magufuli
Rais Magufui na Katib u Mkuu wa CCM Bashiru Ally
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Bashiru Ally, amesema moja ya mambo makubwa aliyoyafanya Rais Magufuli, ni kurejesha matumaini mapya kwa wanyonge ndani ya Tanzania.