Marekani kutathmini walivyoshambuliwa na Iran
Rais wa Marekani Donald Trump, amesema baada ya kambi za Kijeshi za Marekani kushambuliwa na Iraq katika nchi ya Iran, kwa sasa inafanya tathmini ya kuangalia namna madhara yalivyotokea na muda si mrefu atatoa tamko.

