Watu 37 wala Ugali Maharage wenye sumu

Ugali

Watu 37 wanatajwa kula Chakula chenye sumyu walipokuwa msibani katika eneo la Mtumba jijini Dodoma, ambapo wote wameshafikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma na wanaendelea na matibabu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS