Jengo la TBA lateketea kwa moto Jengo likiteketea kwa moto. Familia za watu sita wanaoishi katika nyumba za Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), zilizopo katika eneo la Isamilo mkoani Mwanza, wamenusurika kifo baada ya moto uliozuka katika jengo hilo na kuteketeza mali zote. Read more about Jengo la TBA lateketea kwa moto