'BAVICHA wategemee sura 2 ya uongozi' - Pambalu
Mwenyekiti mpya wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa, (BAVICHA), ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Butimba, mkoani Mwanza, John Pambalu, amesema kuwa vijana wa Baraza hilo watarajie kuona sura mbili katika uongozi wake.