Waziri apiga marufuku watoto kuzuiliwa kisa cheti Waziri Jafo akiwa na wanafunzi Waziri wa Ofisi ya Tawala Mikoa na Serikali za Mikoa (TAMISEMI), Selemani Jafo amepiga marufuku watoto kuzuiliwa kuandikishwa darasa la kwanza sababu ya kukosa cheti cha kuzaliwa. Read more about Waziri apiga marufuku watoto kuzuiliwa kisa cheti