"Alikiba ni kama Jini" - K2ga Kushoto kwenye picha ni K2ga, kulia ni Alikiba Msanii wa kundi la "Kings Music" K2ga amesema alikuwa anatamani kujirekebisha asiimbe kama Alikiba lakini imeshindikana, pia anaona fahari kuambiwa anaimba kama Alikiba kwa sababu msanii huyo ni kama jini. Read more about "Alikiba ni kama Jini" - K2ga