Gambo ataka Injinia avunjiwe mkataba wa kujenga

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, ametoa siku 7 kwa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kupitia upya na kama itawezekana, kuvunja mkataba wa ujenzi wa moja ya barabara iliyopo ndani ya hifadhi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS