Maelezo ya NIDA kuhusu namba za utambulisho Mil 6

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imesema kuwa hadi kufikia Januari 15, 2020, ilikuwa imekwishazalisha namba nyingi za utambulisho, ambazo kati ya hizo zaidi ya namba za utambulisho Milioni 6, bado hazijaweza kutumiwa kwa ajili ya usajili wa laini kwa kutumia alama ya vidole.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS