Maagizo ya Waziri kwa wenye viwanda vya Sukari
Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amewataka wenye viwanda vya sukari kurejea mikataba ya uzalishaji walioafikiana na Serikali kujiridhisha iwapo inaenda sambamba na masharti waliokubaliana.