Msigwa anena kuhusu Demokrasia ndani ya CHADEMA

Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa.

Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuwa mtu aliyesema kwamba chama hicho hakina demokrasia ni muongo kwa kuwa hata kwenye mchakato wa Urais, kimetoa nafasi kwa wanachama wake kuwasilisha barua za kutia nia ya kugombea nafasi hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS