Kocha Yanga ataja sababu ya kufungwa na KMC Mchezo wa Yanga na KMC Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa amesema kuwa wachezaji wake hawakuwa na utimamu wa kimchezo na kupelekea kufungwa na KMC katika mchezo wa kirafiki. Read more about Kocha Yanga ataja sababu ya kufungwa na KMC