Ang'olewa Jino kwa kumtumia meseji binti wa jirani
Mahakama ya Mombasa
Taarifa kutoka Mahakama ya Mombasa nchini Kenya, zinaripoti kuwa jamaa mmoja aliyejulikana kwa jina la Maurice Ochieng, ameachiwa kwa dhamana baada ya kumshambulia jirani yake na kumng'oa jino.