Kutojali wachezaji kumeishusha daraja Singida Utd

Kikosi cha zamani ya Singida United katika picha ya pamoja kilichokua na nyota bora na kutikisa nchi.

Wachezaji wa Singida United hawajalipwa mishahara yao kwa miezi nane hadi sasa,kiasi cha kuwafanya wengi wao kutoroka na kuitelekeza klabu yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS