Wafahamu wateule wapya wa Rais Magufuli leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe na Wakurugenzi watano wa Halmashauri mbalimbali nchini.

