Mashine za kuhudumia wagonjwa wa Corona zafungwa
Hospitali ya Taifa Muhimbili, imefunga mashine tatu za kusafisha damu kwa wagonjwa waliopata maambukizi ya Virusi vya Corona, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana zenye thamani ya Shilingi Milioni 210.