"Utapigwa kama mwizi wa Dreamliner" - Makonda
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amewataka wazazi kuhakikishe wanawachunga watoto wao kwa kuwa, hakuna kibaka atakayesalimika kutokana na msako maalum ulioanzishwa na Polisi wa kuwasaka vibaka wote wanaopora na kuiba, kwani watapigwa kipigo cha Kimataifa kama wezi wa Dreamliner.

