Kauli ya Msigwa juu ya hatma ya jimbo lake
Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, baada ya kueleza kuwa anayo nia ya kugombea nafasi ya Urais ndani ya chama chake, amepata kigugumizi kulijibu swali la kwamba hivyo ndivyo ataachana na wananchi wake endapo ataingia kwenye nafasi kubwa ya Urais.

