Kauli ya Dkt Mwinyi baada ya kuchaguliwa kugombea
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar aliyepitishwa na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Dkt Hussein Mwinyi, amesema kuwa licha ya kwamba katika maisha yake yote kufanya mitihani mingi, lakini amekiri kuwa mtihani mgumu na mkubwa ambao amepitia ni ule wa kuwania nafasi hiyo.

