Kauli ya Makonda baada ya kura za maoni Kigamboni
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul makonda amewashukuru wale wote waliompa pole nyingi baada ya matokeo ya jana aliyoyapata kwenye kura za maoni Jimbo la Kigamboni na kusema kuwa jambo moja muhimu ni kuyajua mapenzi ya Mungu.

