Maneno ya Kinana kwa Magufuli baada ya kumsamehe

Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa kwenye Mkutano Mkuu.

Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana amemshukuru Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli kwa kumwalika na kumpa nafasi ya kuongea kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS