"Mimi ni msanii ninayetuma pesa nje" - Niva Marioo
Msanii wa filamu Niva Super Marioo
Msanii wa filamu Bongo Niva Super Marioo ametuma salamu 3 kwenda kwa wapenzi wake wa zamani kwa kusema, wamkome kwa sababu amepata mpenzi mpya wa kizungu anayeishi nchini Uswizi.