Mashabiki Yanga wajivunia rekodi hii kwa Simba Mshabiki wa Simba na Yanga Kuelekea mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Jumapili hii kati ya Simba na Yanga, mashabiki na wanachama wa timu hizo mkoani Ruvuma wameanza kutunishiana misuli juu ya uwezo wao. Read more about Mashabiki Yanga wajivunia rekodi hii kwa Simba